Patience123
JF-Expert Member
- Mar 10, 2013
- 5,092
- 8,786
Asante sana shemeji... Nazipokea kwa moyo uliotukuka... Shemeji yangu wa nguvu uliyenikutanisha na kipasua roho changu QUIGLEYShemeji nakusalimia...
Asante sana shemeji... Nazipokea kwa moyo uliotukuka... Shemeji yangu wa nguvu uliyenikutanisha na kipasua roho changu QUIGLEYShemeji nakusalimia...
Umeokota lulu kwenye kokoto eti...Endelea mkuu acha mimi nipumzike na Patience123 hapa, ananipetipeti hapa...hili toto...acha kabisa
Acha kabisa mpendwa, leo ni kf birth dayUmeokota lulu kwenye kokoto eti...

Nakushangaa umeficha sukari yako amaizing na leo ni kf birthdayNiwatakie mapumziko yaliyotukuka wote kwa pamoja..Enjoy..
Nimewasili njoo nkwambiePoa mpenzi... Na wewe njoo kule tujifiche bathii
Nipo always for you my heart hackerNimewasili njoo nkwambie
Loool...Nakushangaa umeficha sukari yako amaizing na leo ni kf birthday
Nooo my sweetbaby..... Naogopa usije kubadili gia angani ukanitosa kwa simba ili ubaki na Jimena.... Big Nooo... U & I bathii![]()
![]()
![]()
Mahaba niue, nigaragaze,,, unakumbuka safari yetu ya serengeti! Waonaje tumkaribishe jimena?
Usiwe unapotea jukwaani bhanaNipo always for you my heart hacker
Hapana my dear, tangu nipokee ubatizo nina mtazomo mpya, mawazo mapya, tabia mpya. Jimena atabaki kuwa dada nimpendae foreverNooo my sweetbaby..... Naogopa usije kubadili gia angani ukanitosa kwa simba ili ubaki na Jimena.... Big Nooo... U & I bathii
Nataka unilishe hizo cake... Bt sio kwa uma...Acha kabisa mpendwa, leo ni kf birth day![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Kwa mdomo eeeNataka unilishe hizo cake... Bt sio kwa uma...
Nataka unilishe hizo cake... Bt sio kwa uma...

Hapo nakubali sweetie.... Bt nataka niwe Nawe tu... Yeye atakwenda safari nyingine babyHapana my dear, tangu nipokee ubatizo nina mtazomo mpya, mawazo mapya, tabia mpya. Jimena atabaki kuwa dada nimpendae forever
EeeKwa mdomo eee
Naheshimu mawazo yako, umlete sumbai nammiss atiHapo nakubali sweetie.... Bt nataka niwe Nawe tu... Yeye atakwenda safari nyingine baby