EMMYGUY
JF-Expert Member
- Aug 6, 2015
- 11,115
- 25,414
Umeonaa eeeeh.....!!!Dah hakifai kutazamwa mara mbili kabisa....
Umeonaa eeeeh.....!!!Dah hakifai kutazamwa mara mbili kabisa....
Hahahaaa....Mwacheni ajinyonge
Tutaenda kuzika
![]()
![]()
![]()
![]()
........
Tena mengine huwa ni makubwa.![]()
Majipu kibao kila kona hadi kero
..........
Sio chakula bora hata kidogo.Ni kitamu sana.. jaribu kukila siku moja
Kwani chapati hauzi?Ni chaja siyo chaji
Yaani CHARGER ni kifaa
Umechemsha andazi ww
![]()
![]()
![]()
![]()
........

Nitakuita dada'angu ili twende wote.Ukialikwa uniite
Pole sana jamaa.Hivi mimi ninakosa gani, au nmefanya nini?leo nmekesha hapa chit-chat alafu nashangaa napigwa Ban.![]()
Why?..nauliza tena WHY...!!![]()
Ha ha haApo ulitaka kuanza kutema madinii![]()
![]()
![]()
![]()
Hawa mods naona ID yangu wanaifanyia majaribioPole sana jamaa.
Ndo maana yake.Finishing![]()
![]()
![]()
Hivi mimi ninakosa gani, au nmefanya nini?leo nmekesha hapa chit-chat alafu nashangaa napigwa Ban.![]()
Why?..nauliza tena WHY...!!![]()
Hawa mods naona ID yangu wanaifanyia majaribio![]()
Yani zinaniandama balaa![]()
Itakuwa una nyota ya BAN
Pole sana
............
Yani zinaniandama balaa![]()
![]()
![]()
Ok, nmeshastuka... nahisi hata wakongwe wao pia ni mamods hvyo kama hawakupendi wanakupiga Ban kila wakati..!Wakongwe hawaipendi hiyo avatar WA nahisi unawalenga wao![]()
..........