Kitombise
JF-Expert Member
- Sep 24, 2013
- 8,652
- 25,849
Ee bhanaa siwezi kukutapeli.. kama nkikutapeli nilaaniwe nigongwe na magari ya wanajeshiUkinitapeli nakufanyia zengwe
![]()
![]()
![]()
![]()
.........
Ee bhanaa siwezi kukutapeli.. kama nkikutapeli nilaaniwe nigongwe na magari ya wanajeshiUkinitapeli nakufanyia zengwe
![]()
![]()
![]()
![]()
.........
Basi ugongwe na kifaru na uzikwe hukohuko porini kwenuEe bhanaa siwezi kukutapeli.. kama nkikutapeli nilaaniwe nigongwe na magari ya wanajeshi
Duuh!Basi ugongwe na kifaru na uzikwe hukohuko porini kwenu![]()
![]()
![]()
![]()
........
Hapana hyo siitaki labda defenderNdio hivyo, kama ilivyokuwa kwa Bikra MariaKhee!
Ni nini hiyo?Karibuni breakfastimekosekana pili pili tu hapa![]()
Sijui kununua chaji mimi, najua kuazima chaji
Ni chaja siyo chaji
Yaani CHARGER ni kifaa
Umechemsha andazi ww
![]()
![]()
![]()
![]()
........
kwani mandazi unauza sh. Ngapi?
Nawacheki nione nani mbishi zaidiMuulize jirani yako
![]()
![]()
........
Huyu atawaponza wenzie
Ni kweli kabisaNauona uwepo wa Jimena ukija kwa kasi area hii
Huyo mzee wa fix kauzu sanaNawacheki nione nani mbishi zaidi
Ni breakfastNi nini hiyo?
Mchana huuNi breakfast
Alasili sasaMchana huu
Nawacheki nione nani mbishi zaidi
Angalia time nliyopost huo msosiMchana huu
Usijali twaelewa wewe ni mzee wa kitengo cha fix@Angalia time nliyopost huo msosi