EMMYGUY
JF-Expert Member
- Aug 6, 2015
- 11,115
- 25,414
Tupo sie kwa ajili ya upakaji rangi.Malizeni na sisi tupake rangi
Tupo sie kwa ajili ya upakaji rangi.Malizeni na sisi tupake rangi
Hicho ndo chakula gani??Karibuni breakfastimekosekana pili pili tu hapa![]()
Jamaa ni mbishi sana japo ameomba ushauri.Si bora ulivue pendo tu.. ya nini kuteseka...?![]()
Jamaa mbishi kweli.
Magazeti ndo yanamaliza weledi kabisa.Uweledi hakuna kabisa
Ni kishumbaHicho ndo chakula gani??
Amesema anafurahia kuteseka.. hvyo msijisumbue kumpa ushauriJamaa ni mbishi sana japo ameomba ushauri.
Maabaaa!!!Kamoo...
Dah hakifai kutazamwa mara mbili kabisa....Ni kishumba
Mimi naona wako kifursa zaidiUweledi hakuna kabisa
Endelea kucheka ukichoka pumzikaTeh Teh Makapuku forum..huwa nacheka sana nikipita humu!
Mwacheni ajinyongeAmesema anafurahia kuteseka.. hvyo msijisumbue kumpa ushauri
Ni kitamu sana.. jaribu kukila siku mojaDah hakifai kutazamwa mara mbili kabisa....
Bitoz una mbwembwe![]()
Majipu kibao hadi kero
..........
Sana tu au ww hauna chaja umezoea kuazima tu umejishtukiaBitoz una mbwembwe![]()