Kitombise
JF-Expert Member
- Sep 24, 2013
- 8,735
- 26,079
Sijui kununua chaji mimi, najua kuazima chajiSana tu au ww hauna chaja umezoea kuazima tu umejishtukia
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
.........
Sijui kununua chaji mimi, najua kuazima chajiSana tu au ww hauna chaja umezoea kuazima tu umejishtukia
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
.........
Ni chaja siyo chajiSijui kununua chaji mimi, najua kuazima chaji
[emoji41] kwani mandazi unauza sh. Ngapi?Ni chaja siyo chaji
Yaani CHARGER ni kifaa
Umechemsha andazi ww
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
........
Muulize jirani yako[emoji41] kwani mandazi unauza sh. Ngapi?
Jirani yangu si weweMuulize jirani yako
[emoji125] [emoji125] [emoji125]
........
Umevaa kofia km dereva wa kifaruJirani yangu si wewe![]()
Hii ni helmetUmevaa kofia km dereva wa kifaru![]()
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
.......
Sawa dereva wa kifaru uendeshe vizuri sasaHii ni helmet
Sawa dereva wa kifaru uendeshe vizuri sasa
.........
HahaaaaaManeno kuntu dadake
Anautan wa mawe halafu anaishi kwenye nyumba ya kiooKaka jambazi ametuma picha hii ni kwa hisani ya madame s, ni kweli au ni mtani wakoView attachment 359087
Hii ni 3DDuuh
Km hapo tu mtihani ndo utaweza vifaru
Karibu tule[emoji39]Km hapo tu mtihani ndo utaweza vifaru
Dereva mchovu ww
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
.......
Nimekuja PM kuhusu dili letu lile kachekiKaribu tule[emoji39]![]()
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Nimekuja PM kuhusu dili letu lile kacheki
...........
Ukinitapeli nakufanyia zengwe[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Ukialikwa uniiteKesho yataandika mimi nimealikwa chakula cha jioni na mh. JPM.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Taaluma haizingatiwiUweledi hakuna kabisa