Makapuku Forum

Makapuku Forum

Mhh braza mpaka hapo inaonekana kabisa moyo wako bado upo kwa yule wa zamani so ni vema ukarudiana nae kuliko kuendelea kuwa nusunusu huku kwa sasa.

Swali la kizushi:
Japo hujasema kisa cha huo mgogoro lakin ni nani aliyempa likizo mwenzie kati ya nyie wawili? Jibu unaweza kubaki nalo tu.. teh

Kama ni wewe uliyetoa hiyo likizo basi sina shaka sana na kurudi kwake ila kama ni yeye ndo aliyetoa hiyo likizo itakua zile moves zake na alternatives zote ziligoma kule upande wa pili so hakuwa na namna zaidi ya kujirudisha tu

Mkuu yeye ndo alinitema...
 
Karibuni breakfast
6462a9a9e19489310201ec0120a3879a.jpg
imekosekana pili pili tu hapa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom