AnhaaaMkuu naomba usiwe unaniita Presida kuna pipo zinaona utafikiri mm najiita hivyo wkt hakuna palipoandikwa RAIS WA MAKAPUKU
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
..........
Habari mbaya kabisaJaman naskia ronaldo ka ng'atuliwa huko EURO
Chunguza utanipa majibu.Hapana..sidhani..
TawireNikiri kwamba mimi ni mkongwe mwenye meno 32 na nyongeza ya mawili na kwamba nimekuwa mstari wa mbele kwenye kuzodoa wanaokuja kuomba ushauri nasaha hapa kuhusu masuala ya kutafuta wachumba and so forth...ila nami yamenifika! Kama mko tayari kunishauri mseme tawire!
Kama tulivyojifunza kupitia maandiko ya kwenye khanga na misemo yya kiswahili kwamba kila shehtan na mbuyu wake basi iltokea shehtani mimi nilikutana na mbuyu wangu of whom tulipendana hadi nikasema poo! Ila nahisi kuna pepo wa aina yake alipita yapata miezi kumi na moja sasa bila maelewano na kufupisha mambo nikaamua niache mambo yajiendee tu!....nikatafuta mnyonge mwenzangu tukaamua tuendelee tu kushikilia vijiti huenda tukapendana mbele kwa mbele...sasa likizo ya bila upendo ya mbuyu wangu imeisha na anataka kurudi! Ushauri, nimpokee ama nimpotezee ikizinggatiwa kwamba moyo wangu tayari upo kwenye kipindi cha mpito kujaribu kumpenda wa majaribio?Sema shida braza.
HahahaAsante sana kaka, japo namba nne haikuwepo lakini nimeinjoyi sana. Ubarikiwe.
Majukumu tuUlipotea ghafla.
HahahaHii mambo kumbe inalipa
Usijali kaka, hayo ni makosa madogo madogo.Hahaha
Bas makosa ya ki ufundi
Ntarekebisha hilo
Nakutaken radhi kwa leo
Ndio ubaya wa taifa zima kutegemea mchezaji mmoja awatoe kimasomaso..Habari mbaya kabisa
YeahMchungaji na kashfa ya kukwepa kodi
Namuonaga wa kawaida tuKwanini umesema hivyo?
YeapKuna kitu.
Kaaazi kweli kweli
HahahaaWinners hao
Kumbe ndio namba moja??? Aisee
Zile ni hadithi za kututisha tu... Ila hazina ukweliWaangalie wasije wakatumika Kama kuni za kutuunguza sisi huko kunakoitwa jehanam..![]()
![]()
![]()
Kweli kabisaNimejikuta naitamania bure, ndo maana Masanja Mkandamizaji anaifanya.