Makapuku Forum

Makapuku Forum

Number 6, Creflo Dollar Net Worth 2016 – $27 Million
941ca8ab607e9a2f715a7fdb9959ffea.jpg


d36baea8b68e03187d6972391a780c0a.jpg


Ana miliki ki rolls royce chake kama cha us dollar 2 million

Yeye ana jet yake pia
29b4b7470998d65eb2691f4e85999bb2.jpg


Ana jumba la abillion huko marekani, pua anachunguzwa kwa kuto kuwa muwazi na mapato yake huko mchini marekan

Mnamo mwaka jana aliingiza dollar 3.7 million kwa kuuza vitabu , vyake
Mmmmh
 
Number 5,
80655b2b5010980e7ec13053bccff964.jpg

d5aa151084299fabc95520e82e5a869c.jpg

Hiki ni kibanda chake cha $12 million kilichopo kwenye fukwe maarufu za oceanfront hacienda huko southern California,
f859c8f59e7ebcad3e9aac0fe4259777.jpg

Jet yake ya kupugia mizunguko

Yeye ana fanya huduma za kuzunga kuhubir sehem mbali mbali dunian, japo shirika la FBI lina mchunguza kwa tuhuma mbali mbal ikiwemo ukwepaj wa kodi bado yeye ni kiboko ya utajiri
Mchungaji na kashfa ya kukwepa kodi
 
Number 3, . Chris Oyakhilome Net Worth 2016 – $50 Million
6d76614300afd2e3a747690733d8c7d6.jpg


7c80a18b40bcf3aa6cfed35a07964d69.jpg


Moja ya kanisa lake hapo
c5008b6ed041918cdaae132fb70568a6.jpg

Huyu yeye alinunua kampuni nzima ya ndege na kuiita Sky power

Ana televisheni yake ya LoveWorld ambayo huwa na 2.5 million views per nightly event. Na ndo televishen ya kwanza ya aina yyte kutoka Afrika kurusha matangazo yaliyo onekana dunia nzima kwa sattelite ya kawida
Naye ana fikiriwa kukamtwa huko South Afrika kwan hudai ana ponya watu HIV/AIDS na pia ana kashfa kuwekeza pesa uswisi
Sio mchezo
 
Number 2, . Bishop T.D. Jakes Net Worth 2016 – $147 Million
caecd05e1e4d45b63ad81f5eb0bc4525.jpg

795752f6d69d5341ed06a32b836724a9.jpg

Nyumba anazo miliki ambazo ni za mamilioni
6f1822eb3b7d2833aae3d836d7052559.jpg

Gari yake ya kutembelea angani

Askofu, muimbaji na mshindi wa tuzo za grammy na Oscar
Ni billionea kwa kuuza album zake za nyimbo za injili pia, na ana vipindi vyake vya televishen huko texas, kanisa lake lina itwa Pitter,s hose Mega church na ana asili ya Nigeria pia kwa mujibu wa vipimo vya DNA yake
Naona vile wapopoo wanavyotikisa
 
Nikiri kwamba mimi ni mkongwe mwenye meno 32 na nyongeza ya mawili na kwamba nimekuwa mstari wa mbele kwenye kuzodoa wanaokuja kuomba ushauri nasaha hapa kuhusu masuala ya kutafuta wachumba and so forth...ila nami yamenifika! Kama mko tayari kunishauri mseme tawire!
Heee... Kwani ni lazima tuseme hilo neno?

cc: Jimena
 
Number 1 ,Bishop David Oyedepo Net Worth 2016 – $150 Million
8f500800d9cfb5e801c3ed07c3d3b0cf.jpg


fe2a8ab3dd1667a86495a8def8642600.jpg

Sehem ta kusanyiko la kanisani kwake hapo lagos
1b4c4d32214d2f7ff4f3c631b52cb254.jpg

Hili ni kanisa jipya analo lijenga huko ota-ogun state Nigeria
Ana kanisa linalo chukua watu zaid ya 50000 kwa wakat mmoja , ana Airline yake inayo itwa Dominion airline ana makanisa zaid ya nch 45 duniani, ana miliki hospitali, shule na kampuni za mabasi huko nigeria na marekani

Aliwahi kuingiza mabasi 300 kwa siku moja huko Nigeria
Yeye ni mtumish wa bwana tajir kuliko wote dunian alitoka marekan na akarud kwao Nigeria akisema Mungu ame mtuma akawafanye wanaijeria wawe matajiri
.kwa sasa ana jenga nyumba ya Naira 250 billion huko Nigeria ili. apate naye sehem ya kuish


#nikija kuwa mkubwa na mi nadhan ntafungua kanisa
Winners hao
Kumbe ndio namba moja??? Aisee
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom