Makapuku Forum

Makapuku Forum

d5a6bd33a51efda1fff15568cbc99c45.jpg
 
Jaman it was long and tiring sesseion but i hope mme enjoy
Mpake kesho wakt kama huu tena
Ulikuwa nami

Szczesny Carrenza de le Casa de la Fuma
Tchaoooo

Muwe mna enda kanisan mtoe na sadaka

Am sorry gwajima hayupo top ten lakn
Asante sana kaka, japo namba nne haikuwepo lakini nimeinjoyi sana. Ubarikiwe.
 
Number 9, Prophet TB Joshua Net Worth 2016 – $10 Million

400e528e0b302fe5b8c5c2923c046d8a.jpg


a8ce0ea3b13ebcd27142c827e01b8865.jpg


Yeye ana maelfu ya washirika huko lagos, pia hufaidika kwa kuuza maji yake ya upako yaan "annointing water" ana angaliwa na zid ya mamilioni duniani kwejte televisheni yake ya Emmanuel

Kuna vifo vingi vumeripotiwa hasa uingereza kwa wagonjwa wa UKIMWI kuacga ARVs na kudai wamefunguliwa na huyu bhana, pesa zake ki bongo bongo ni
Shillingi 21926500000.0000

Pia viongoz wengi wa bongo washaenda kwake
Akuwemo eddo ambaye ni mtu wake wa nguvuu
ace30bed57b85384aa7355dac1f296db.jpg
Sijuhisi kama kwenye yaliyomo yamo huyu nae yumo
 
Number7, Kenneth Copeland Net Worth 2016 – $25 Million
4e167f482ead1425332e86c59e18c747.jpg


Hii ndo jet yake binafsi ya matembez akiwa towan, lakin nmeshindwa kupata picha yeke mwenyewe

Yeye anaish kwenye ka kibanda kake kenye thaman ya dola $6.3 m
Alianza huduma miaka ya 1950 alipo kuwa msanii wa nyimbo xa injili na hutengeneza pesa kwa uimbaji pia , familia yake inamilik shares za TV maarufu ya kidini inayo itwa T BN
Hii mambo kumbe inalipa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom