Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,296
- 68,376
Top 10 jamani itifaki izingatiwe...
Nahisi atakuwa huyo.Mchungaji Gwa JINA
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
........
Pamoja sana shem.Zimefika shem
Nzuri sana baba mchungaji,nasubiri nikuone kwenye top ten[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Poa sana, habari
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Niliachaga upasta kitamboooNzuri sana baba mchungaji,nasubiri nikuone kwenye top ten[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Bora uwaambie wwTop 10 jamani itifaki izingatiwe...
Kumbe uliacha kuwa mvuvi wa watu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Niliachaga upasta kitambooo
Mchunga kundi, sasa navua pesa kwa kwenda mbeleKumbe uliacha kuwa mvuvi wa watu
ok...
NjmekuPMok...
Lazima ufurahiUtaachaje kupata rahahasa unapomuona Cr7 katupitia goal kwa kisigino..
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Endelea, safiNumber7, Kenneth Copeland Net Worth 2016 – $25 Million
![]()
Hii ndo jet yake binafsi ya matembez akiwa towan, lakin nmeshindwa kupata picha yeke mwenyewe
Yeye anaish kwenye ka kibanda kake kenye thaman ya dola $6.3 m
Alianza huduma miaka ya 1950 alipo kuwa msanii wa nyimbo xa injili na hutengeneza pesa kwa uimbaji pia , familia yake inamilik shares za TV maarufu ya kidini inayo itwa T BN
Cr7 kamuumbua mwandishi na mike yake kuitupia kwenye majiLazima ufurahi