Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,269
Acha woga kula kitu roho yapendaHIP HOP
Acha woga kula kitu roho yapendaHIP HOP
Endelea mkuuLeo naleta top 10 ya wachungaji matajiri zaod duniani
Yaan the richest pastors in the wolrd
Number 10, Joseph Prince Net Worth 2016 – $5 Million
![]()
![]()
Huyu bwana ni mtoto wa mchungaji huko singapore na pia yeye ana vipindi vya televishen zaid ya nchi 150 duniani
Pesa zake kwa mwaka kitanzania ni 10963250000.0000 shillings
Mchungaji Gwa JINANasubiria nione mchungaji Mr Tanzania atashika namba ngapi?
Zimefika shemBasi sawa. Mpe salam zangu braza Th Name.
Fresh jembeZa usiku makapuku
Mchungaji wa matamkoMchungaji Gwa JINA
![]()
![]()
![]()
![]()
........
Iko njema sana kaka. Mambo yanaenda?Za usiku makapuku
Subiri TOP TEN iishe kwanzaBitoz mpaka sasa nani unampa nafasi ya kuchukua kombe mataifa ya ulaya
Hapana asee...Chukua mkuu
![]()
![]()
nmecheka sanaaaa
Utaachaje kupata rahahasa unapomuona Cr7 katupitia goal kwa kisigino..
![]()
![]()
![]()
Duh! Aiseeee
![]()
![]()
![]()
Hata mie nangojea kwa hamu.Nasubiria nione mchungaji Mr Tanzania atashika namba ngapi?
Mambo yameenda vizuri sana mkuuIko njema sana kaka. Mambo yanaenda?
Poa sana, habariZa usiku makapuku