Makapuku Forum

Makapuku Forum

01f4cf43e99665851aaf4e919b3e0811.jpg
Safi sana Croatia
Cc cuzzo Linamo
 
Mkuu hapa umekengeuka kabisa nimepata ukakasi sana haswa kwenye maneno yako ya awali hapo ...Ungeweza kutumia namna ingine na ujumbe ungemfikia mlengwa tena kistaarabu sana...Tusikubali kabisa kuvunja undugu na ujamaa tulioujenga kupitia hapa kwani hata members wa hapa KAPUKU tukikutana kwenye majukwaa mengine tunakuwa na ile feeling ya undugu....Na nikushauri kitu Prezda labda hata na mimi kuna mtu nimemkwaza hapa kwa namna moja au nyingine bila mimi kujua mtu huyu kwanza yapasa aniambie mimi hata kwa PM kuwa unanikwaza na sipendi 1,2,3..Akiona sisikii anaweza kureport ishu kwako..Na wewe lazima ukalie kiti na nafasi yako kwa hekima na busara iingia huko PM niambie kuna 1,2 ,3 hakika nitakuwa msikivu maana lengo hapa si kukwazana kwa namna yeyote ile ni kijiwe cha kufanya tucheke tufurahi wakati maisha ya upande mwingine yanaendelea...So please itakuwa vizuri na Member wengine waache uwoga ama unafiki nikikuuzi niambie straight forward tu ili kuepusha mpasuko hapa kijiweni..Naomba nenda PM na Jambilo mwambie 1,2,3 kuwa ni member yupi huyo amelalamika then mmalize na maisha yaendelee kama kawa ida hapa..
It's over kakake
 
Mkuu siku zote mahali penye watu wengi panakuwa na mengi pia,

Kumbuka hapa tuko watu tofauti tukiokulia na kulelewa katika malezi tofauti pia,

Wengine wanapenda utani, wengine hawapendi,
Wengine tunapenda ila usizidi kipimo

Nadhani sio watu wote wenye ujasiri wa kumpa mtu ukweli pale wanapoona mambo sio, labda ndio maana walilalamika


Pia nimeona kama umexegarate kidogo ukamhusisha mpaka pattience

Relax and have a glass of wine
One love
????
 
Patience123 uko wapi mpenzi wangu
Acha tu
4b2ee1eb4d7f44639a095ef1fcc92436.jpg

Pale ukifaru unapozidi

.....

a134b73a0bb330b671b5461874c66bee.jpg

Kifaru wa wapi huyu
.......

Here for you you my sweetheart... Lol nimesahau

Hivi kweli wewe ni mtu nzima ....nimechoka ukifaru wako wa masaa 24 ukiambiwa hujirekebishi ndio sababu wadada wanakimbia thread 7bu ya ukifaru wako
Mimi km Kiongozi kazi yangu kuweka mambo sawa ....sipendi kuona thread inapoteza heshima sababu ya mtu mmoja
Km huna kitu cha kupost bora ulale
Nina malalamiko mengi PM kuhusu wewe inasumbua watu
...............
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom