We ulivyo muanzia kwa Shari patience ulitegemea a some??Uliandika maneno mengi halafu ulianza kwa shari hivyo sikusoma yote
Ndo tatizo
.........
BeibyyyyDada nakumiss
Ndio nimeanza kuonaHuyo jamaa ameadimika kama sukari
zake jioni hiiUjambo mtoto mzuri
..Nimemuuliza wapi mkuuWe ulivyo muanzia kwa Shari patience ulitegemea a some??
Tunaendelea kuisoma nambaNa mafuta ya taa nayo yameadimika
My Wii habari ya jioniNdio nimeanza kuona![]()
zake jioni hii
My dear..Nimekumiss mno...Beibyyyy
Tamuwekaje sawa ikiwa sifahamu wapi kakosea???Naona yameisha
Km ni best yako basi saidia kumweka sawa kwamba hii siyo thread za mtu kutafutia sifa
.................
Bado gesi tu.... Ikishaadimika na hiyo na umeme wa bongo ulivyo magumashi mtaanza kupikia kuniNa mafuta ya taa nayo yameadimika
Asante kaka. Nakumiss sana.Mkuu tupo kijiweni hapa karibu sana...
Labda hiyo aisee![]()
Inatosha kununulia mikate miwili tu
.....
Mcng you moreeeeMy dear..Nimekumiss mno...
Nipo kaka ake..Dada nakumiss
Yanajulikana waziwazi hapahapa na SISEMI NINAYOAMBIWA PMTamuwekaje sawa ikiwa sifahamu wapi kakosea???
Kiporo kipo?karibu tule makapuku wote

Ndio. Najua we haupo GermanChama ukimaanisha timu?
Nashukuru Mungu mambo yameenda kwa asilimia 99 asilimia moja tumemwachia aliye juu..Pole na majukumu ya siku my dear..Mcng you moreeee
Kazi niadje???
Wii yalishaishaNipo kaka ake..
Hivi tatizo na wifi yangu liliisha?? Maana nilikuwa busy sikuwepo hapa siku yote hii