Makapuku Forum

Makapuku Forum

Mkuu sumbai na jambilo, Bitoz hebu hii issue tuiweke pending coz tupo immotional, tukisha relax tui-forget na kisha kuipotezea turudi kama zamani.

Tusameheanea na kila mmoja ajifunze kwa kilichotokea.

Glass zinagongana kabatini sembuse sisi???

One love, together kama kawa!!!

Strong people forgive n forget
Issue tuliimaliza muda mrefu ulioputa
Ndo maana sihangaiki nayo
.........
 
Mkuu sumbai na jambilo, Bitoz hebu hii issue tuiweke pending coz tupo immotional, tukisha relax tui-forget na kisha kuipotezea turudi kama zamani.

Tusameheanea na kila mmoja ajifunze kwa kilichotokea.

Glass zinagongana kabatini sembuse sisi???

One love, together kama kawa!!!

Strong people forgive n forget
Nilichojaaliwa ni kutokuwa na bifu nikiongea yanaisha, hata tukizipiga, tukimaliza nakusalimia, sinaga chuki japo dogo kanichokoza kitambo nimekuwa nikijifanya mjinga, werrason yameisha, wakati citagusa tena endapo ataacha ujinga, hata sasa yeye ni shahidi ninalike post zake, nimezaliwa kuwa mwanaume niyakabili haya japo simlazimishi kunyamaza
 
f0e1019291ba1460b28f20558ad2bc8a.jpg

......
 
Nilichojaaliwa ni kutokuwa na bifu nikiongea yanaisha, hata tukizipiga, tukimaliza nakusalimia, sinaga chuki japo dogo kanichokoza kitambo nimekuwa nikijifanya mjinga, werrason yameisha, wakati citagusa tena endapo ataacha ujinga, hata sasa yeye ni shahidi ninalike post zake, nimezaliwa kuwa mwanaume niyakabili haya japo simlazimishi kunyamaza
I liked that. No one is perfect.
 
Number 3,Jyoti Amge - 24.7 inches
dc7efec4453aa30c1991e9bf018808db.jpg

Amge alizaliwa mnamo mwaka1993 huko Nagpur, India ana ttzo linalo itwa achondroplasia
Yeye baada tuu ya kushereheka mwaka wake 1 wa birthday hakifamikiwa kukua tena zaod zaod alipungua, siku zote amekuwa akitaka kuwa muigizaji na ana ndoto ya kuchukua tuzo za Oscar zile za hollywood na amesema lazima zitimie(hayo na mwachia mwenyewe)
Pia kati ya watu wafupi huyu inaonekana ana akili kiswa sawa kwani kachaguliwa kujiunga na open university of India

Number 2, Junrey Balawing - 23.6 inches
257e4e68be777d8a5c343300e13b9533.jpg

Mnamo mwaka 2011 alipo fikisha miaka 18 alifanikiwa kueka rekodi ya kuwa mtu mfupi kuliko wote duniani, japo ilikaa kwa mwaka oja tuu,
Inasemekana ana uzoto wa takriban kilo 5 na nusu ana sadikika kuwa na ugonjwa wa endocrine- or birth-related defect. Kwa kuwa mifupa yake si migumu hawez kusimama mpaka ajishike pahala, hata hivo japo huhitaji msaada wa wazazi , akiwa nyumbani husaidia kulisha mifugo yao hasa kuku

Yeye ni wa ufilipino huko kwa kina Angelo, Yna na redburterfly
Kwa kina Miss power
 
Number 1, Chandra Bahadur Dangi - 21.5 inches
f726ca2fa70021c036bf2bced9b177c5.jpg

Mnamo mwaka 2012 huyu ndo aliweka rekod kwenye kitabu cha genesis
Alizaliwa mwama 1939, ana ugonjwa wa premodial dwarfism, ambao una mfanya kila kitu kwenye mwili wake kuwa kifupi
(i mean kilaa kituu)
Na alipo ulizwa kama hakujua kuwa ni rekodi kwa miaka yote alisema kwakuwa yeye kazaliwa nepal vijijin asingweza kuwapata hao watu wa kumpima na ndugu zake wote hawajawahi kwemda shule so hawakujua kabsa mambo ya rekodi ya dunja

Na huyo ndio namba moja wa leo
Hao andunje hatari

...........
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom