Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,504
- 57,052
Habari yako brother EMMYGUY.
Habari yako brother EMMYGUY.
Swalama kabisa mkuu.Nafurahi kuona Makapuku wenzangu mnakinukisha pande hzi namna hii..
HABARI ZENU JAMANI
Salama uko poa ww?Swalama kabisa mkuu.
Habari ya huko uliko.
Utasubiri sanaNatafuta kiki
.........
Niko poa kabisa mkuu, mungu ni mwemaSalama uko poa ww?
KakaNiko poa kabisa. Vipi wewe
Astaafu tu maana hamna namna sasaKadabra katangaza kustafu Sweden baada ya michuano hii ya Euro
Na kweli ni mwema sana..Niko poa kabisa mkuu, mungu ni mwema
Dada yangu uko poa kabisa,Kaka
Yeah Shem ndio maaana nlianza kwa kusema well notedSwala sio kiswanglish
Issue ni busara bro
Nmemiss world records....lolHabar za jioni ndugu zangu makapuku
Mussolini5
Amazing&Manuu
Bitoz
Shululu
Sumbai
Jambilo
Linamo
Nyagei
Werrason
Emmyguy
Yong blood
Th name&Lizzie
Linamo
PNC1
na wengine
Niliwakumbuka and i hope mko poaa