Japo siona sababu ya kugombana , maisha menyewe mafupi, Siko hapa kwa ability ya likes na ikiwezekana endelea kuwahamasisha wajinga wasilike, wanaojitambua watanipa, au hata wasilike kwani hazinisaidii, mwisho nakushuku kwa hekima yako hiyo mkuuSawa bhana
.....................
Pamoja sana kaka.Siku imekuwa njema sana tunashukuru karibu sana..
Nakumis mkuuNipo sana madame, mambo yanaingiliana tu. Mzima wewe?
Muda wangu wa kubembeleza ndoa umefikaMapema namna hii
Usilete ubishi wako UACHE TABIA YA KUPENDA SIFA KWA KUSHINDA KWENYE THREAD MASAA 24 NA KUITAITA MAJINA TU NA KUTAKA KUREPLY KILA POST .....Jirekebishe unaudhi watuJapo siona sababu ya kugombana , maisha menyewe mafupi, nashukuru kwa hilo mkuu
Watu gani nawaudhi acha ujinga mbona unarusha picha ya vyura na kima usiku na mchana huudhi wewe?Usilete ubishi wako UACHE TABIA YA KUPENDA SIFA KWA KUSHINDA KWENYE THREAD MASAA 24 NA KUITAITA MAJINA TU NA KUTAKA KUREPLY KILA POST .....Jirekebishe unaudhi watu
.................
Hahahaaa... Safari ndefu hiyo... Hongera shemdarling.Wii nilishatoka Singida nikaenda Arusha,Nikaenda Machame nikaenda Karatu nkashuka ngorongoro,juzi usiku nikaenda Dar Jana usiku nimerud Nyanda za Juu Kusini
Km huelewi its OKWatu gani nawaudhi acha ujinga mbona unarusha picha ya vyura na kima usiku na mchana huudhi wewe?
Unapenda sifa na una wivu wa kijinga wewe.........
SawaUnapenda sifa na una wivu wa kijinga wewe
Mbona tutakimbia forum!!!....ina maana nikianza kuzoza na Lizzy watu wanapanic mkuu???....ndiioo maana kuna member aliniita Licongo!!!....duh maajabu!!!Ndio hapo kumbe malalamiko yapo pm....mnatuletea hapa......daah
Nielewe kitu gani wew, ukitaka niripoti nifungiwe kama navunja taratibu. wew acha visasi na tabia za kihaya, unataka uheshimiwe but kichwani ndo hivyo tena..0.. kwa taarifa yako unaudhi wengi kushinda mimi, na kwa mwenendo huu utabaki na mkeo humuKm huelewi its OK
sina muda wa kupoteza
Endelea kuwa kero na ubishi wako
..........
SawaNielewe kitu gani wew, ukitaka niripoti nifungiwe kama navunja taratibu. Moroses wew acha ravis sa kihaya, unatake uheshimiwe but kichwani ndo hivyo tend, kwa taarifa yako unaudhi wengi kushinda mimi, na kwa mwenendo huu utabaki na mkeo humu
Kuwa na subira my X sweebaby... we are the same but not equal... Be patient... Kumbuka kuwa Patience anakupendaJapo siona sababu ya kugombana , maisha menyewe mafupi, Siko hapa lisais likes na ikiwezekana endelea kuwahamasisha wajinga wasilike, wanaojitambua watanipa, au hata wasilike kwani hazinisaidii, mwisho nakushuku kwa hekima yako hiyo mkuu
Mtu asietaka Utani asije kwenye uzi wenye Utani kuepuka kukerwa.Mkuu siku zote mahali penye watu wengi panakuwa na mengi pia,
Kumbuka hapa tuko watu tofauti tukiokulia na kulelewa katika malezi tofauti pia,
Wengine wanapenda utani, wengine hawapendi,
Wengine tunapenda ila usizidi kipimo
Nadhani sio watu wote wenye ujasiri wa kumpa mtu ukweli pale wanapoona mambo sio, labda ndio maana walilalamika
Pia nimeona kama umexegarate kidogo ukamhusisha mpaka pattience
Relax and have a glass of wine
One love
Kama vitotoHabar za usiku wakuu, baada ya maombi ya wadau kuwa top ten ya watu wafupi zaid duniani, nimeona ni bora nisicheleweshe ombi hilo
NB, picha hazija kaa sawa kwa sababu za kimtandao nawataka radhi kwa hilo
Number 10, Stacey Herald - 28 inches
Huyu yeye alizaliwa Kentucky , huko USA, na ana tatizp linaitwa osteogenesis imperfecta, ameolewa na mwana mazoez mmoja mwenye fut 5 na nchi sita
Kuanzia mwaka 2005 hadi 2009 alijifungua watt wa kike watatu
Wa wili wali rithi ugonjwa wake
Huyu mmoja ni mzima ana amshinda kulea kwa sababu anakua haraka kumzidi yeye
Number 9, Hatice Kocaman - 28 inches
Alizaliwa huko uturuki, ana mattzo ya ukuaji wa mifupa yaan genetic bone conditions, yeye anasema akiwa mdogo ali hate ufupi ila kwa sasa kwa kuwa ufupi unampa umaarufu anahis angekuwa mfupi zaid ingekuwa poa zaidi
PointYaishie huko huko....ukiyaleta humu utaleta mgongano....na ugomvi....
Kama mtu anaona sio vema kusema hapa....then usilete hapa Haata nucta.
Kama kuna mtu analalamikiwa pm kamueleze pm huko...
Ukiamua kuleta hapa Basi leta full issue tujadili....