Amen, kwako piaLe famile, amani iwe nanyi[emoji113]
Brother ukirudi usisahau Sangara.Hahahhahah aiseeee....sumbawanga Naenda usiku tuuu
Basi nafasi wanayo hawa wajukuu
AiseeeeAcha tu.
Mie nina shida sana wallah.
Kwenye maisha yangu sijawahi kupotea sehemu yoyote ile hata kama ni giza totoro.Dah umepotea??
Mie mzima Shem darling. Vipi ulikutana na rungu la TCRA mapema nini??Iko njema sana shemdarling. Mambo vipi?
Natafuta heshima kwa wakwe.[emoji23] [emoji23]Mmmh unatafuta urijali wa maradhi[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]
Ila this time ulipotea kwenye misitu ya congo[emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwenye maisha yangu sijawahi kupotea sehemu yoyote ile hata kama ni giza totoro.
[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Hivvyo hivvyo..Sasa shem mimi unaniachaje?
[emoji2] [emoji2]Neno
Tutakuzika mapema shauri yako[emoji23] [emoji23] [emoji23]Natafuta heshima kwa wakwe.[emoji23] [emoji23]
Naona unaanza kulikorogaHahaa.. Haya umeipata bibie.
Kafunga mdomo??Kuna jamaa kalala anakoroma basi zima anasikika yeye!!
Ni simu na sio mimi hahahaaa...Mmmh nilijua utakuwa ulaya..kumbe imesombwa tu na maji[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Muache ujinga na imani za watu!
Mzima kakaake?Amen, kwako pia
Came on my three lions.... Dah I love England....![]()
Today Fixture
.................
Hapana mpenzi, hanidaiAhahahhaha achana nae beib.....kwani anakudai bado??? Kpnz