Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,504
- 57,049
Nitafurahi sanaWe mmbea...![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
ngoja nikugeuze mbilikimo ndo utaniheshimu tena Kama wale wa misitu ya congo
![]()
![]()
![]()
nitakuwa najificha hata kwenye shamba la mchicha.Nitafurahi sanaWe mmbea...![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
ngoja nikugeuze mbilikimo ndo utaniheshimu tena Kama wale wa misitu ya congo
![]()
![]()
![]()
nitakuwa najificha hata kwenye shamba la mchicha.
Hiyo lugha uliyotumia imekuwa ngumu kwangu.Nini mijicho![]()
![]()
![]()
Ha Haaaa ushindwee ulimi wako...tutashinda nakuapiaWajukuu wa Malkia mpoo...leo mnarudi nyumbani baada ya kipigo cha Wales
Piga kofi.Kuna jamaa kalala anakoroma basi zima anasikika yeye!!
Came on my three lions.... Dah I love England....
Mkuu umeingia jotoni?Wala sijapanic mkuu, hapa kuna wadau tofauti wa dini mbalimbali! Watatuchukulia sio kwa kusema vibaya dini zao.
Yes my dear, that's why baba kijacho hachezi mbaliYani najua aunt yupo karibu kuja
AmeeenAcha umbea![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Tupo......england tutashinda nakuapiaSidhani kama wataonekana,wanasubiri game iishe ndo waje
Nikupe mdogo wangu shem... Ila uwe na pesa ndefu,yeye kwake mapenzi ni pesaSasa shem mimi unaniachaje?
We kenua tu
Achaa.....utapata nguvu gaflaaaa....Acha kabisa brother,hata kama ukiwa kwenye Coma utaamka tu.![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Unataka utusumbue tena na presha yako Leo. Mwembie WiFi patience akuandalie kabisa ambulanceTupo......england tutashinda nakuapia
Umemwona kijana!Dah umepotea??
La karanga kabisa la mchicha bado utakuwa mrefuNitafurahi sana![]()
![]()
![]()
nitakuwa najificha hata kwenye shamba la mchicha.
