EMMYGUY
JF-Expert Member
- Aug 6, 2015
- 11,115
- 25,414
Asante kaka.Pole sana na safari
Asante kaka.Pole sana na safari
Hapo nimekupata mkuu, ila mie niliandika rabaeka kwa maana nimeitikia witoUliandika neno Rebeka..nami nikaongezea kuwa Rebeka ni mke wa isaka..ref bible mkuu
Poa brother.Habari nzuri kaka. Asante kwa kunimiss hata mie nilimiss uwepo wako kwangu. Nimerudi rasmi, tuwe pamoja kaka.
Nilikuelewa sana bali nilitaka attention yako kwanguHapo nimekupata mkuu, ila mie niliandika rabaeka kwa maana nimeitikia wito
Hahaa.. Haya umeipata bibie.Nilikuelewa sana bali nilitaka attention yako kwangu
aksante mkuuSafiri salama
Muache ujinga na imani za watu!Na peponi hawatagusa
![]()
![]()
![]()
![]()
............
Wazee kushinda njaaaa......
JokingMuache ujinga na imani za watu!
Aje mutu ya kongo..papaa mukuluLe famile, amani iwe nanyi![]()
Wala sijapanic mkuu, hapa kuna wadau tofauti wa dini mbalimbali! Watatuchukulia sio kwa kusema vibaya dini zao.Joking
Don't Panic
...................
...................
Papaa oforoAje mutu ya kongo..papaa mukulu
Hao wa Itikadi kali.....I'm Christian na mwezi huu navaaga kanzuWala sijapanic mkuu, hapa kuna wadau tofauti wa dini mbalimbali! Watatuchukulia sio kwa kusema vibaya dini zao.
pamoja mkuuHao wa Itikadi kali.....I'm Christian na mwezi huu navaaga kanzu
Cna chuki na dini ya mtu
Mungu ni mmoja & yuleyule
..............
aje kiongoziPapaa oforo
Amani amani mkuuAje mutu ya kongo..papaa mukulu
Hahahaaa....*BREAKING NEWS*
wazee wa Sumbawanga wamewaambia TCRA wakifungiwa simu kesho watalikuta jengo lao Malawi![]()