Linamo
JF-Expert Member
- Jan 12, 2011
- 9,976
- 24,498
Kifaransa hicho means Black widowHiyo lugha uliyotumia imekuwa ngumu kwangu.
Kifaransa hicho means Black widowHiyo lugha uliyotumia imekuwa ngumu kwangu.
Kama ndiyo hivyo basi tena.Nikupe mdogo wangu shem... Ila uwe na pesa ndefu,yeye kwake mapenzi ni pesa

Usimwambie mtu.We kenua tu
Vimeo muhimuuuuuTatizo una vimeo vingi![]()
![]()
![]()
![]()
Kabisaa anatia rutuba masikio macho na kuchaYes my dear, that's why baba kijacho hachezi mbali
Ndo maana nikakwambia mapema shem, au usubiri atakayeachika humu udake mtumbaKama ndiyo hivyo basi tena.
Kapuku mimi pesa nitatoa wapi.![]()
![]()
![]()
Umeonaaaa eeeeh.....kwa afyaMwanaume kuwa na mwanamke mmoja tu haileti picha nzuri kwa wakwe zako.
Aliniambia ananishukuru kwa kumfungulia Njia kwako, nami nikamtaka akutunzeKwani huyu anakutaka nini bebi wangu... Mbona kukufatafata sana?
Na kumpaka rangi ili afanane naye asije akaenda kwa hasimu yake jambiloKabisaa anatia rutuba masikio macho na kucha
Unaona masimango dadakeMzima mamy
God bless england![]()
![]()
ENGLAND XI
................
Patience anahusikaje hapa??
Umejuaje![]()
![]()
atashtuka balaa
nadhani wewe pia ni mtaalamu wa hayo mambo.Yes, umemfungulia njia yeye anatelezea ganda la ndizi mbivu mlimaniAliniambia ananishukuru kwa kumfungulia Njia kwako, nami nikamtaka akutunze
Patam saana.....napamiss mnoooHahaha...Joto city pamoja na changamoto zake patamu bwana...