Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,632
Tengua swumuSijatoka kwa wakwe mkuu, nilikuwa kikazi!
Y.O.L.O
.........
Tengua swumuSijatoka kwa wakwe mkuu, nilikuwa kikazi!
poaMkuu ukifika segera yaache kwa muuza machungwa nitayafuata badaye.
teh teh...Haya bhanaTengua swumu
Y.O.L.O
![]()
![]()
![]()
![]()
.........
Okey. MkuuuSijatoka kwa wakwe mkuu, nilikuwa kikazi!
Kanali Kinana akiwa na Luteni Kanali Jakaya Kikwete, Siku ya kustaafu kwao utumishi Jeshini, hii ilikuwa kambi ya Abdallah Twalipo mwaka 1992.
Wazee kushinda njaaaa......Tengua swumu
Y.O.L.O
![]()
![]()
![]()
![]()
.........
DuhKanali Kinana akiwa na Luteni Kanali Jakaya Kikwete, Siku ya kustaafu kwao utumishi Jeshini, hii ilikuwa kambi ya Abdallah Twalipo mwaka 1992.
Njia imefunguka vizuri eeeMtanguliz.....Mimi mzima asante kwa kunisafishia njia....kaka jambilo
Safari eeeNimelala sana aisee
My sisterKaribu
Nami nafurahi sana nikisikia hivyo
Ndg yangu!!!Poa mkuu
Acha uongo huwezi kumbariki huku ukizini na my sweetheartJimena mungu Wa mbinguni akubariki saaana
Love u....
House boyKijana Wa kazi vip
Shem langu miss you muuuuuchShem sumbai
Nikuonapo jukwaaniUsisahau zawadi yangu
Nimeiona huku Kigogo ina peperusha banco limeandikwa
PROUD KAPUKU ,ONCE A KAPUKU ALWAYS A KAPUKU
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
...........
Prezdaa kauzu weye

Makaveli10Morng makapuku wenzangu.