Makapuku Forum

Makapuku Forum

MKE: Mme wangu, hivi kumvalisha nepi mtoto kwa kingereza wanasemaje?

MME: Duh kweli nimeoa mke kilaza, unashindwa hata hio?

Mke: Jamani basi mwenzangu kipanga unaejua ngeli niambie.

MME: Yani unashindwa kusema "Kidnapping"


[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
a55791a3d002fd739256e96fdb286bf2.jpg

A Kongoman
.............
Uliza sasa bei ya hiyo koti?
 
Back
Top Bottom