makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 35,993
- 104,502
Mke tena, sijakuelewa hapo mkuu, hebu jaribu rudia tena, lakin consider gender yangu "ME"Mkewe Isaka??
Mke tena, sijakuelewa hapo mkuu, hebu jaribu rudia tena, lakin consider gender yangu "ME"Mkewe Isaka??
AiseeeNa peponi hawatagusa
![]()
![]()
![]()
![]()
............
Uliandika neno Rebeka..nami nikaongezea kuwa Rebeka ni mke wa isaka..ref bible mkuuMke tena, sijakuelewa hapo mkuu, hebu jaribu rudia tena, lakin consider gender yangu "ME"
Ndio mkuu ulifyeka vema maguguNjia imefunguka vizuri eee
Hahahahahhahaa.....Mara umwite mtumba Mara Sweet hat .....dah kumbe she still rock youAcha uongo huwezi kumbariki huku ukizini na my sweetheart
Doesn't mean that....House boy
Nitahakikisha nakuvunja moyo kila wakatiHahahahahhahaa.....Mara umwite mtumba Mara Sweet hat .....dah kumbe she still rock you
Cc Patience123
Ushindweeeee....na uregeeee....Nitahakikisha nakuvunja moyo kila wakati
Kuregea ni nin????Ushindweeeee....na uregeeee....
Ntashindwaje ilhali umekiri nilifungua Njia, na sasa unateleza tu, ukiendelea kula ujue mlimaji alishalima na kuvunaUshindweeeee....na uregeeee....
Uregee kabisaaKuregea ni nin????
Mkuu wewe ulivuna ukaacha shamba sasa zamu yangu kulima...acha niendelee kuvuna angalia utapigwa mshale Wa sumuNtashindwaje ilhali umekiri nilifungua Njia, na sasa unateleza tu, ukiendelea kula ujue mlimaji alishalima na kuvuna
Kwenda wapi.,...........![]()
![]()
...
Nimechoka kwa safari.
Usiponipata ujue simu yangu imesombwa na maji.Hivi wote humu ndani mshahakiki simu zenu??
Sitaki kumiss michango yenu tafadhali
Habari yako brother.......![]()
![]()
...
Nimechoka kwa safari.
Pole sana na safari......![]()
![]()
...
Nimechoka kwa safari.
Habari nzuri kaka. Asante kwa kunimiss hata mie nilimiss uwepo wako kwangu. Nimerudi rasmi, tuwe pamoja kaka.Habari yako brother.
Nilikumis sana mkuu.