Makapuku Forum

Makapuku Forum

Hawa ni akina nani?
CkgE73HWEAAVyQz.jpg
Luwasa!!!!
 
Makapuku bana, hivi shule hazijafunguliwa tu mkapungua humu, maana mnapenda ligi za kishule shule nyie!
eeeh! eenhe! umeingia laini nilikuwa nakusubiri kwa hamu sana mkuu sasa naona umevamia tanki la mimavi sasa ngoja unukie,najua hapo unajitegeza kwa kuwa we ni kiherehere wa wa wakongwe ambao wanajipendekeza kwa mods,kwa muda huu bora nikuache ntakukumbusha baadae nikipata muda wa kukujibu wewe jobless unaetega masikio kusikilizia wapi ambapo mtagaiwa sukari ya bure mliyohaidiwa na uncle magu kwa sasa nakuacha ila baadae ndio utanijua mimi ni nani
 
Ha ha ha, shule zikifunguliwa haya yote yataisha.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom