sumbai
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 20,890
- 47,611
Ha haaa mkuu hapa umejiunga 2007 au 2016 we are equal...makapuku wengine tupo since 2012 lakini tunapewa new member
Longlive kapuku forum
Ha haaa mkuu hapa umejiunga 2007 au 2016 we are equal...makapuku wengine tupo since 2012 lakini tunapewa new member
MamboKaribuni thupu kapukuz
Umekuwa sukariiiiii Siku hiziKapukuzzzzz
Ha hahhahah hakyannan swaumu yangu naihurumia saana
Ha hahahah....hao Haata hawajasoma maandiko ya walawi kwenye biblia...Hawa jamaa na Wachina wanakula almost everything hasa hawa viumbe wa majini. Na kama taifa nadhani ndiyo wanaongoza kwa kuishi maisha marefu hapa dunian na wana rate ndogo sana ya magonjwa ya uzeeni kama kansa, dementia na Alzheimer. Wanadai kuna viumbe huko baharini wana nutrients zinazopambana na magonjwa mengi. Ukijumlisha na kutopenda kwao kunenepa, ukiasi (moderation) na kufanya mazoezi basi unakuta kazee kako 100+ bado eti kanapiga push up na kurusha mateke. Kwa hili nimewaheshimu kwa kweli. Nimeona mpaka supu ya vyura asubuhi wanasema inaboost mood na kuimarisha msukumo wa damu. Na hao nyoka nikija kweli wakae chonjo. Kuna jamaa hapa ameahidi kunielekeza jinsi ya kuondoa kile kifuko cha sumu kwa wale ambao wana sumu. Ukikosea kikatoboka basi nyoka mzima unamtupa na kama una kidonda mkononi sumu ikapenya basi ni kuRIP tu..
Niajeehodi makapuku.
swissme
ACHENI KUWAPA KICK WAPUUZINaona kijana dharau zimezidi au??? Hivi unajiona weewe umesoma saana au???? Who told you kapuku ni wanafunzi??? Acha zako braza....
Nimekustah kwa vile tunafamiana..ila you always think and talk negative about this people
Kuna watu wapo hapa wana profile kubwa na wanasifa kubwa humu Jf kyliko weewe...
Behave pls
Poa sumbai. Vipi weyeMambo
Huko hakuna ujanja lazima ule konokono na nyoka, vyura nkHabari nzuri. Niko huku Japan kikazi wananizingua na mavyakula yao ya hovyo hovyo. Aaaaargh!
ChangamkiaMh! Zali la mentali
Saaaaaafi!!!
Labda ndege wengineSi ule nyama ya kuku?
Labda ndege wengineSi ule nyama ya kuku?
Nami nataka kujuaWe ni me au ke ?? Kumradh lakini
Na poket maneUnataka kunitumia ticket?
Acha awapunguzeUkija utatumalizia nyoka wetu jamani!!
Kumpotezea ndio ila huyu Jamaa rafiki yangu naona anazidi kujisahau...ACHENI KUWAPA KICK WAPUUZI
WAPOTEZEE KIZUNGU KWA KUPIGA KIMYA..... Chukua mfano unaenda sehemu unatukana kundi la watu kwa sauti lkn hawakujibu si utaumia moyoni ? coz utaona HAWANA HABARI NA WEWE
..................................................
USIWAPE KICK WAPUUZI
Ignore them![]()
.... ......................................................
Za swaumu....nataka daku tule wotee pamoja dadaPoa sumbai. Vipi weye
Hahahaa dadaaaaake mie!Ya mkia
Raha ya supu mkia.... MkuuHahahaa dadaaaaake mie!