Makapuku Forum

Makapuku Forum

5806e18488cdc8783f05fb7eaeef94ed.jpg

EURO 2016
..........
 
Nimeona ile post yako unatafuta mtu wa kumtukana nikasema ngoja nione kama kweli una hayo matusi, ha ha ha.
kumbe unataka kutukanwa si ungesema mapema unazunguuuuuka sana nimegundua wewe ni kapuku mwenzangu ndo maana sishuhuliki na wewe mkuu kama unataka nikutukane ngoja kwanza nigoogle mkuu
 
Ukija utatumalizia nyoka wetu jamani!!
Hawa jamaa na Wachina wanakula almost everything hasa hawa viumbe wa majini. Na kama taifa nadhani ndiyo wanaongoza kwa kuishi maisha marefu hapa dunian na wana rate ndogo sana ya magonjwa ya uzeeni kama kansa, dementia na Alzheimer. Wanadai kuna viumbe huko baharini wana nutrients zinazopambana na magonjwa mengi. Ukijumlisha na kutopenda kwao kunenepa, ukiasi (moderation) na kufanya mazoezi basi unakuta kazee kako 100+ bado eti kanapiga push up na kurusha mateke. Kwa hili nimewaheshimu kwa kweli. Nimeona mpaka supu ya vyura asubuhi wanasema inaboost mood na kuimarisha msukumo wa damu. Na hao nyoka nikija kweli wakae chonjo. Kuna jamaa hapa ameahidi kunielekeza jinsi ya kuondoa kile kifuko cha sumu kwa wale ambao wana sumu. Ukikosea kikatoboka basi nyoka mzima unamtupa na kama una kidonda mkononi sumu ikapenya basi ni kuRIP tu..
 
Makapuku bana, hivi shule hazijafunguliwa tu mkapungua humu, maana mnapenda ligi za kishule shule nyie!
Naona kijana dharau zimezidi au??? Hivi unajiona weewe umesoma saana au???? Who told you kapuku ni wanafunzi??? Acha zako braza....
Nimekustah kwa vile tunafamiana..ila you always think and talk negative about this people

Kuna watu wapo hapa wana profile kubwa na wanasifa kubwa humu Jf kyliko weewe...

Behave pls
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom