Makapuku Forum

Makapuku Forum

makapuku nina hamu ya kuwanyoosha wakongwe sasa ni hivi mtu akiona thread ya dharau kwa makapuku anitag TADPOLE nije nimwage shombo ya kambale
Mkuu naona una hamu ya ban

Sisi kama Makapuku hatumdharau yoyote ila pia hatumshobokei mtu
Mtu akija kusema mbovu tunareport mods wanafanya yao.
Hivyo nakusihi nawewe ufate njia hiyo.
 
c615d9390614fd093e5349b29926d472.jpg
pozi flani amazing

Cc: amaizing
 
Mkuu naona una hamu ya ban

Sisi kama Makapuku hatumdharau yoyote ila pia hatumshobokei mtu
Mtu akija kusema mbovu tunareport mods wanafanya yao.
Hivyo nakusihi nawewe ufate njia hiyo.
unajua nini naonaga thread za baadhi ya wakongwe wanaleta madharau sasa nataka mtu akiletewa dharau anitag tuje tunyooshe mambo naonaga Bitoz akipataga shida sana na hawa watu wenye madhereu siogopi ban mkuu tena ndo naitaka hiyo ban
 
HAPPY BIRTHDAY MAKAPUKU FORUM

Nawasalimu katika upendo na amani
Leo ni miezi miwili toka Makapuku forum ianze na naomba nichukue nafasi hii kuwashukuru wote,
Shukrani za dhati ziwafikie Makapuku wote popote pale mlipo maana natambua ya kwamba bila nyie basi tusingeweza kufikia hapa tulipo. Najua wote tuna majukumu mengi ila hayo majukumu hayajawa kikwazo katika kufanikisha hili.
Vilevile nasema asante kwa ushirikiano na upendo ambao tumekuwa tukiuonyesha pamoja na sapoti ambayo tumekuwa tukipeana mpaka hatimae tumepata heshima kubwa katika jamii inayotuzunguka.

Mafanikio
Kwa miezi miwili ambayo hii thread imekuwa hewani tumeweza kuwa katika thread ambazo zinafanya vizuri zaidi hapa Jamii forum
Wote mtakuwa mashahidi kuwa hii thread ina views za kutisha na reply 48k ndani ya miezi miwili tu, na kwa matokeo haya tumezigaragaraza zile thread za miaka nenda rudi.
Mafanikio mengine ni idadi ya Makapuku kuzidi kuongezeka siku hadi siku, hii ni fahari kubwa sana kwetu kuona kuwa tunakubalika na watu wanapenda kuwa pamoja nasi, na napenda kuchukua nafasi hii kuwakaribisha wote wanaopenda kujiunga nasi, na kwa moyo mkunjufu nawaambia ya kuwa milango ipo wazi.
Mafanikio mengine tuliyopata ni pamoja na na idadi ya Makapuku katika orodha mbali mbali kuzidi kufanya vizuri.
Tunaongoza kwenye Most points na Most likes pia na nna imani very soon tutakuwa kwenye Most messages.

Mwisho napenda kusisitiza tuishi kwa UPENDO pia kusameheana na kuchukuliana, kukaa pamoja watu wengi sio kitu rahisi hivyo kwa namna moja au nyingine ni lazima kuna sehemu inatokea tunatofautiana basi tusameheane na tusonge mbele
Tuzidishe upendo pamoja na kupeana sapoti kila mahali tunapokutana kwasababu najua hatuishii hapa tu

Happy Birthday Makapuku forum

Tag wote mpaka msg hii iwafikie Makapuku wote kutoka pande mbali mbali za dunia

Nawapenda wote
Jimena
 
Ameen ameeen

Long live kapuku forum
 
unajua nini naonaga thread za baadhi ya wakongwe wanaleta madharau sasa nataka mtu akiletewa dharau anitag tuje tunyooshe mambo naonaga Bitoz akipataga shida sana na hawa watu wenye madhereu siogopi ban mkuu tena ndo naitaka hiyo ban
Mimi hawanipi shida ....style yangu km kuna thread ina interest ya Makapuku basi NAKOMENTI MARA 1 TU halafu nasepa....km thread haina faida NAIGNORE KIZUNGU (napiga kimya)
Me nna maneno ya shombo kumzidi PEREGE
Sema kwa vile nawakilisha Makapuku inatakiwa niwe mfano bora
...............................................
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom