Tupo safi kabisa!Mimi niko poa sana Shem wewe na familia yako Th Name mnaendeleaje lakin?
Nashukuru kusikia hivyo Shem tupo pamoja sana...Tupo safi kabisa!
PowaaaaNashukuru kusikia hivyo Shem tupo pamoja sana...
Worry notSorry! Aisee kumbe ni binti wako![]()
Naona magufuli aka baba jesca amekukalia pabayaShemeji nakusalimia...naona unawakilisha kijiweni vema kabisa..
Mkuu wacha kabisa hali si hali mjini tunalazimshwa kukimbia penda tusipende .Naona magufuli aka baba jesca amekukalia pabaya
OkayWapo vijana wanavua na kuuza kwa wasiojua watokako
Jana nilianzisha uzi usemao magufuli shikamoo, kuna copy yake humu kapuku wakauunga na uzi mwingine but nilijaribu kuonyesha hali halisi jinsi watu wamepigika mijini, mabank hakuna watu, watu wamepaki magari nkMkuu wacha kabisa hali si hali mjini tunalazimshwa kukimbia penda tusipende .
Kula ni uhaiUnapenda kulakula km ngur****
![]()
![]()
![]()
![]()
........
Hiyo bajaj ni yako?Njoo gheto basi nakusubiri hapa![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
......
.........
Kila mwamba ngoma??Acha kupasrma vibaya kwetu hatuibiani wenyewe kwa wenyewe
Bitoz nafahamika sana huku
![]()
![]()
![]()
![]()
.......
Sasa ndo mjitahidi muonane sio maneno tu hapaMimi pia nna hamu sana ya kukuona bwana Bitoz
Mkuu sikufanikiwa kuona nadhani sijaingia JF na siku kadhaa ila kweli hali ni tete mno..Nilienda Bar moja ambayo kipindi cha nyuma ilikuwa lazima ufanye booking ya sehemu ya kukaa ila juzi nilienda tukajikuta tuko wenyewe kama tulivyoenda ikabidi tuudumiwe na wahudumu wote maana wanasema kweli sasa ile maana ya mteja mfalme wameiona..Jana nilianzisha uzi usemao magufuli shikamoo, kuna copy yake humu kapuku wakauunga na uzi mwingine but nilijaribu kuonyesha hali halisi jinsi watu wamepigika mijini, mabank hakuna watu, watu wamepaki magari nk
Hivi Jambilo we ni ke?? Au unapenda tu kuweka avatar za kike??
Hahahaa! Tutaonana tuSasa ndo mjitahidi muonane sio maneno tu hapa