Makapuku Forum

Makapuku Forum

Dah nimemiss sana kijiwe hadi magazeti sikuweza pitia leo itabidi niende nyuma hadi niyakute...Uko poa lakini dada angu?
Niko poa kabisa,
Basi labda uwahi kabda hawajachat sana maana yatakuwa mbali mno
 
Mi namiliki baiskeli 1 tu na vijiko 6 sufuria 3 ,vikombe 7.stuli _2. Bakuli 3 na raba pea 1
Nategemea vitu vya kukodi na kuazima
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
.........
Ongeza sufuria basi manake siku ukipika mboga 7 hazitatosha
 
ed65ca82c2e67393d9e178bac0ceea4e.jpg
 
Back
Top Bottom