Kapuku naona unajitwangia ka-kitwanga kako..karibuni tupige kitwanga![]()
Nyie bado tu???Nawawekea kwenye majani ya migomba
![]()
![]()
![]()
![]()
........
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
kibukoba zaidi.
Fresh man,ni vpOyoo mambo niaje
Ninatwangalaaa kitwangaKapuku naona unajitwangia ka-kitwanga kako..
Vitwange kweli kweli..ndio muda huuNinatwangalaaa kitwanga
Tulimaliza, tumeanza tena.Nyie bado tu???
Mlipumzika sio??Tulimaliza, tumeanza tena.
Hahaa ndio, tulipumzikaMlipumzika sio??
Mlikula lakini..Hahaa ndio, tulipumzika
Bado hatujala.Mlikula lakini..
Mmh..ndio maana yule jamaa kapotea ghafla..kafa nini??Bado hatujala.
Hajafa kalegea kwa njaa. KalalaMmh..ndio maana yule jamaa kapotea ghafla..kafa nini??
Kalegea kwa njaa tu??Hajafa kalegea kwa njaa. Kalala
Njaa na kiuKalegea kwa njaa tu??
Loh..kumbe ilibaki kidogo ummalizie mbali..Njaa na kiu
Hahahaa duuh nimmalize na nini, shemeji yangu huyo.Loh..kumbe ilibaki kidogo ummalizie mbali..