Linamo
JF-Expert Member
- Jan 12, 2011
- 9,976
- 24,498
Kwa hiyo umeleta ya kutosha??Likua nimeenda kukutafutia sukari.. mana ya hapa wameificha![]()
![]()
Kwa hiyo umeleta ya kutosha??Likua nimeenda kukutafutia sukari.. mana ya hapa wameificha![]()
![]()
Habar ya hapa!!?Uage vizuri huko lakini![]()
![]()
Njema tu shkamoo!Za jioni familly
Aisee nadhani mpaka tutagawa kwa jamaa na rafiki wa karibu.. iko teleeeKwa hiyo umeleta ya kutosha??
Kumbe wewe ni mwenyeji sana maeneo haya mkuu.Okey mkuu.....Mimi napenda kupata kitwanga pale kama unatokea hostel za usagara...unanyoosha rod kuna miembe miembe huku pemben (upande Wa kambi) kuna kabaa Fulani tulivu saana...
Anyway kumbe ni mwezi mtukufu...
Salama kwema utokapo?Habar ya hapa!!?
PW
Karibu sana mkuu.Ushafuturu??
OkAisee nadhani mpaka tutagawa kwa jamaa na rafiki wa karibu.. iko teleee
Shukran.Young blood na Jambilo nawasalimu pia
DuhKaribu sana mkuu.
Ndiyo nashusha vikombe vya uji na Tende hapa....

Salama brother.Za jioni familly
Marhabaaa
Umeshinda aje ndugu yangu!!?
Alhamdulilah tunamshukuru Muuumba mkuuShukran.
Habari ya siku nyingi brother.
Frsh ndugu yanguSalama brother.
Habari yako.