Makapuku Forum

Makapuku Forum

Aisee.
Waambe waende *Be forward*.... watu wanaleta mazoea ya kupanda magari wakati wazazi wao hata baiskeli hawana.
Sasa unataka na wao wafe hawajayamiliki Kama wazazi wao?
Kuzaliwa na baba asiye na gari siyo kosa Lao kosa lao ni Kama watakubali kuolewa tena na mume asiye na Gari[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Sasa kama wanataka magari si watafute wenyewe?
Si lazima wapewe na wanaume!
 
e17de9b2fcca6946cced293cb523a164.jpg
Hahahahaha mpo vizuri
 
Ha ha ha ha makapuku bana kweli mnastahili hivyo maana hii mambo ya kusema sijui mademu wananishobokea cjui home kuna mandinga ni ishu ya kiloko saaaana
 
Back
Top Bottom