Asante mkuu nimemiss ile supu ya samaki.....dah samaki flani Wanachemshwaaa tuu wanawekewa limao....wanakarot na hoho....daaah nimewamis mnoo..I miss TangaKumbe wewe ni mwenyeji sana maeneo haya mkuu.
Karibu sana tupate uji wa pilipili manga.
Mambo
Hukufunga....lakiniKaribu sana mkuu.
Ndiyo nashusha vikombe vya uji na Tende hapa....
Swaumu iliwazidUnadhani basi hata nimeshinda? Opponent wetu hawakutokea uwanjani so nimepata ushindi wa mezani mapemaaaa!
Huku tatizo sukari tu ila siyo mbaya Kama utaniletea mihogo na magimbi kwa ajili ya futari.Sawa nitaaga.....nkuletee nmzawadi Gani shemeji....
Salama mamy... Leo ndo swaumu ilikuwa Kali au?Habari zenu ndugu?
Ha hahhhh et.....nininadhani mi apa sihusiki
Tatizo unafuturu wakati hujafungaMbona washangaa tena mkuu.
Mmh nahrene karudi??Uji tayari mkuu,karibu sana.
Hahajhaajaj hahahhhah.....![]()
Nimembamba Jambilo
![]()
![]()
![]()
........
Hahaha sasa mpendwa ninunue mihogo town nipeleke kijiji??Huku tatizo sukari tu ila siyo mbaya Kama utaniletea mihogo na magimbi kwa ajili ya futari.
NdiyoHahaha sasa mpendwa ninunue mihogo town nipeleke kijiji??
Sukari taleta...unataka ile nyeupe au???
See u weeknd
nataka nyekunduSalama mkuuHabari zenu ndugu?
Nimepata chombo kipya Nahrene tupa kule.Mmh nahrene karudi??
Tafadhali nitake radhi mkuu.Hukufunga....lakini