Makapuku Forum

Makapuku Forum

Ama kweli ubabe umepungua mtaani, hakuna muziki munene kwa magari kama ilivyozoeleka kwa vijana wa town, uchumi wa MTU mmoja mmoja umeleta utata
Magufuli shikamoo..

Bank nako hakuna foleni, tulizoea kuona foleni ndefu kuanzia kuweka hadi kuchukua pesa kwa ATM lakini hazipo tena, sasa ukienda bank unanyoosha kaunta,
Nasema tena shikamooo.

Ubabe wa matajiri na wenye Nazo nao umepungua, sasa tunaheshimiana.
Ninakuamkia..shikamooo.

Ofisi za umma Nazo zilikuwa na miungu watu, sasa no watumishi wa umma na sio miungu watu tena, baba Jesca shikamooo.

Umetumbua majipu bila ganzi na usaha umetudondokea mifukoni,
Mkuu shikamooo.
Wewe ni kiboko
Nasema shikamooo umeleta heshima MUJINI

Amtimue na jesca
 
Poa brother pamoja sana
Njoo hapa chumbageni karibia na polisi.
Okey mkuu.....Mimi napenda kupata kitwanga pale kama unatokea hostel za usagara...unanyoosha rod kuna miembe miembe huku pemben (upande Wa kambi) kuna kabaa Fulani tulivu saana...

Anyway kumbe ni mwezi mtukufu...


Salama kabisa brother.
Habari ya jioni
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom