Milele Amina.Makapuku walalanje wote mmekumbuka kurudi na fyatu fyenu? Wanajumuiya Tumsifu Yesu Kristu....
Asante kiongozi.....Habari ya jumapili Wapendwa katika Kristo!
Hongera kwa kubahatisha braza.
![]()
![]()
![]()
Nipo nasali kwa kusikiliza Radio Maria hapa maana Kanisani sijaenda.Nimeamka swalama.
Kwa hisani ya Mungu.
Vip ibada
Kwa kipindi chote cha mfungo ngoja tuwasaidie kupata Kitwanga kwa mwezi wote hahaaa...kesho ndo ramadhan kwa wale waislamu mjiandae kufunga hatutaki maswala ya kunywa maji kisirisiri jiandaen
Na kitimoto kitadodakesho ndo ramadhan kwa wale waislamu mjiandae kufunga hatutaki maswala ya kunywa maji kisirisiri jiandaen
Usijali kaka. Tupo pamoja.Asante kiongozi.....
Mtupe neno mtakalo jifunza huko kanisani
hapo ndo utawaona waumini halisi wa dini ya kiislamu lakini ngoja mwezi uishe mnagombania kitwanga pale matako bar hahaaaKwa kipindi chote cha mfungo ngoja tuwasaidie kupata Kitwanga kwa mwezi wote hahaaa...
hahahaha na kitwanga mauzo yatashukaNa kitimoto kitadoda![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
.......
Hapa katisha MugabeHaving many girlfriends,doesn't mean ur handsome. But u r CHEAP. Since cheap things o products are influencing many buyers
by ROBERT MUGABE
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()