Bailly5
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 16,495
- 35,288
Kama mashati ya yule jamaaInafunika vitz
Kama mashati ya yule jamaaInafunika vitz
Hahahahahaha ndo nilitaka kuona ajabu swala la kutolewa mswakiUwiii
We ur always welcome, alwyas
Manake sio kwa ukubwa uleHahaa kwa kweli!
Picha za ajali kila sikuAhsante sana kaka!
Vipi mabasi ya mwendokasi yanasaidia huko?
Hahahaaa ndioKama mashati ya yule jamaa
Yako poa sema yanapata sana ajaliMazee, mabasi ya mwendokasi yamekaaje huko?
Kakake jimena, lete mchongo nipige debe wew mzee
Unaweza toa mashati hata matatu hahahahHahahaaa ndio
Hahaaa mwendokasiManake sio kwa ukubwa ule
ur mine...no matter what, sijapata tu muda hapa!! ila ukweli ndiyo huo, jibu basi hata ka PM kangu kamoja...pllllzzzzzzz
Na madela mawiliUnaweza toa mashati hata matatu hahahah
sawa shemeji....Kakake jimena, lete mchongo nipige debe wew mzee
Picha za ajali kila siku
Ngoja wajibu tusikie
Nipo kaka ke, unimeku pmMtumishi upo wewe?
Sijakuona muda ndugu!
Tatizo ni hili mazoea bado madereva wa gari ya kawaida ni janga sana. Hawana Subira kabisa. Pia hata mwendokasi wanaona wao ni bora zaidi.Aaaah!
Nini chanzo tena?