kiwatengu
Platinum Member
- Apr 6, 2012
- 19,303
- 17,827
hey!! we ni mwanaume?Hahaha nimecheka sana, nipe kazi ya kulifukuza
hey!! we ni mwanaume?Hahaha nimecheka sana, nipe kazi ya kulifukuza
Duuh hii chapati tunakula kapuku wote na inabaki.
Basi gudi karbu sanaMungu mwema yanasonga kiongozi wangu!
Labda jamii forum yote tunaweza kulaDuuh hii chapati tunakula kapuku wote na inabaki.
Hahaha ndo manakeDuuh hii chapati tunakula kapuku wote na inabaki.
Mi mbona sikaribishwi?Basi gudi karbu sana
Pole nyie nao msimu wenu mbaya, baridi gani sahivi ni wakati wa kiangazi?
Hahaa kwa kweli!Labda jamii forum yote tunaweza kula
Basi gudi karbu sana
HahahaaaHahaha ndo manake
this is a sin, seriously!!
hadi nimemhurumia kwa kauli hii kwa kauli hii, utamuua mzee wa watu weweWe usinikomaze kabisa. Sio suga dad langu wala sina shirika nalo
Inafunika vitz
Kakake jimena, lete mchongo nipige debe wew mzeehey!! we ni mwanaume?