EMMYGUY
JF-Expert Member
- Aug 6, 2015
- 11,177
- 25,510
Utaweza lakini?Mimi zangu ni kama hii![]()
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Usimwambie mtu.
Teh tehee... Kijana unapenda vya wakubwa weyee...
Utaweza lakini?Mimi zangu ni kama hii![]()
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Usimwambie mtu.
18Tujaribu kuchemsha akili asubuhi hii kwa jedwali hili rahisi, Niko na jibu mkononi hapa kwa hiyo atakaye patia nitampa zawadi yake, Karibuni wote.
View attachment 351312
Pole asee..Aisee.
Binadamu wabaya sana.
[emoji15] [emoji15] Niuze nyumba tena?Aisee brother niko Tanga nimefika maeneo ya chumbageni.
Hawa watoto wa kitanga ni balaa yani ukisikia mtu kauza nyumba usishangae....
Mkuu umekosea kwa kiwango kilichotukuka, Jaribu tena.18
Haya kalale
Joking jibu nialeta
........
[emoji637] [emoji638] yaani 3X4 ....hapo karuka 5 & 4 kimtegoTujaribu kuchemsha akili asubuhi hii kwa jedwali hili rahisi, Niko na jibu mkononi hapa kwa hiyo atakaye patia nitampa zawadi yake, Karibuni wote.
View attachment 351312
We mkali.[emoji637] [emoji638] yaani 3X4 ....hapo karuka 5 & 4 kimtego
.........
Asante kwa kuliona hilo braza.Ha haaa nahrene alishamwachaa hajui kulea
Samaki kwa wingi, hali ya hewa nzuri. Karibu Mwanza kaka.Njema boss.....huko kanda ya ziwa mnatunyima nn???
Teh teh haitaji hata kusema, ila sijasema kuwa umepatia nasubiri na majibu kutoka kwa wengine tuone.Nna credit Maths
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
.........
Kijana jitazame utakufa mapema wewe.Hakyananiiiiii daah