EMMYGUY
JF-Expert Member
- Aug 6, 2015
- 11,115
- 25,417
Iko njema kaka, namshukuru Mungu kwa uzima. Niaje kwako brother!Salama brother habari ya kwako.
Iko njema kaka, namshukuru Mungu kwa uzima. Niaje kwako brother!Salama brother habari ya kwako.
Hapo ndo atajuta.![]()
![]()
![]()
Ataambiwa afungue chupa ya champagne.![]()
![]()
![]()
Kwangu mambo yako vizuri kabisa.Iko njema kaka, namshukuru Mungu kwa uzima. Niaje kwako brother!
Karibu sana Tanga brother.Mabinti wa kitanga,
Wanajua kujipamba,
Kwa mapozi wanatamba,
Kwenye mapenzi hadi utatia Nangaaa....
![]()
![]()
![]()
Njema tu, umeshakunywa chai?Habari ya asubuhi Waungwana!
Kwani kwa Rasi Simba wanafundisha? Teh tehee...Hahahaaa nitakupeleka kozi.
Asante kaka. Nitakaribia siku moja.Karibu sana Tanga brother.
Ras Simba haiwezi hii.Kwani kwa Rasi Simba wanafundisha? Teh tehee...
Tayari nshakunywa. Labda ntoe lunch.Njema tu, umeshakunywa chai?

Hahaaa... wewe subiri, siku ukikamatwa ndo utajua.Hakuna wa kunikamata!
Shangaa shem. Hiyo type kaikataa tu youngblood lakini inamfaa sana.Wewe zako zip
Ndio size yake, mambo makubwa hawezi. HahahaaaShangaa shem. Hiyo type kaikataa tu youngblood lakini inamfaa sana.
Wapi panapofaa shem wangu!?Ras Simba haiwezi hii.
Mpaka China kwenyewe.Wapi panapofaa shem wangu!?
Umeona eeh?? Hongera sana shem kwa kumjulia mtu. Kijana wangu mpendwa youngblood hebu njoo hapa.Ndio size yake, mambo makubwa hawezi. Hahahaaa
Hahahahaaaa asante shem!Umeona eeh?? Hongera sana shem kwa kumjulia mtu. Kijana wangu mpendwa youngblood hebu njoo hapa.
Huko China ni mbali, itabidi tuwaambie Clouds Media wapitishe mchango kwa wasikilizaji na wadau wake ili tupate kianzio.Mpaka China kwenyewe.
Pamoja sana shem.Hahahahaaaa asante shem!
Cha nauli auHuko China ni mbali, itabidi tuwaambie Clouds Media wapitishe mchango kwa wasikilizaji na wadau wake ili tupate kianzio.