ZING SOKONI
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,509
- 57,091
Alafu mwisho wa siku watu kama hawa wanakuja kulalamika maendeleo hakuna,wakati wanashinda baa.Hapana mkuu kule ni kujiendekeza,
Mfano kijiji nilichoenda jana, vijana wengi wanaamini ukinywa pombe ndio unapata nguvu ya kufanya kazi, matokeo yake wakipata pesa kidogo zinaishia Kwa pombe
