Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,504
- 57,049
Aisee brother niko Tanga nimefika maeneo ya chumbageni.Ha haaa mkuu Fanya uoee na Huyo....nlijua mke kumbe mchec.hepu.ko ha haa.....
Anyway karibu tanga bwana....uwe shemeji
Hawa watoto wa kitanga ni balaa yani ukisikia mtu kauza nyumba usishangae....

