Makapuku Forum

Makapuku Forum

Nilibadilisha mafundi watatu sijui unazungumzia fundi gani ila kama ni ujenzi pole sana
😆 umejuaje! Ni hawa ma mason yaani kaenda kujenga uzio kwenye hifadhi ya barabara na mipaka nilimuonesha aisee. Ulikuwa unajenga nini mpaka ukawabadili hivo?
 
Hakuna watu ambao huwa naachana nao vibaya kama mafundi! Sio nguo sio nyumba au nini, wengi hatusalimiani saahizi🤦🏽‍♀️ Haya yupi kqti ya hawa kakutibua tena poker wangu?
Hao mafundi nguo wamezidi, kwanza hawajuagi kukataa kazi hata umuambie unataka xpres utasikia sawa ila lazima mje mgombane. Mimi ni hawa mason au wajenzi.
 
Hao wa nguo mpaka nikaacha kushona miaka kumi+ siwapendi😂

Huyo wa ujenzi deal nae effectively ni wajuaji afu wezii.. ukinyanyua boma nae ananyanyua kwake, nilikodi frem moja mwaka juzi ikawa inahitaji marekebisho sana, sitosahau fundi anakuandikia mifuko ya cement sjui wall put mara rangi, ukija kuona alichofanya kwa vitu alivyoorodhesha, alikuwa mtu mzima yule fundi nilikuwa nna adabu namsalimia vzr ila ile siku hawezi kunisahau aisee nilimuwashia moto jmn😂🙌🏾
 
Sasa wewe ulikuwa huna utaratibu wa kukagua jioni, au hukuwa na expert wa kumuuliza kwanza gharama za renovation kabla ya kuanza. Japo renovation huwa zinagharama maana fundi mpya lazima akosoe kazi ya fundi wa zamani sijui Fundi mahiri wa Ujenzi ana maoni gani juu ya hili.
 
Nilikuwa nikitoka kazini jioni napita kukagua nakuta mapicha picha ata sivyo tulivyokubaliana na bado cement wala wall put havijatosha kurekebisha sehem nyingine zipo tu vilevile🤦🏽‍♀️
 
Kwahiyo akachukulia huyu wa kike haelewi kitu akaamua kukupiga na kitu kizito 😂 kama nakuona ulivo fura.
 
Jamani naomba nisameheni.
Sipo vizuri kabisa kwa sasa, changamoto zimekuja kwa wakati mmoja na nimefika mahali pa kuomba msaada.
Kama kuna yeyote anaweza kunisaidia hata 20,000, itanisaidia kupumua kidogo.
Sitachukulia poa, nitarudisha kadri nitakavyoweza.
Asanteni sana 🙏
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom