Poker
JF-Expert Member
- Oct 7, 2016
- 6,515
- 19,006
Nimemsahau, ila alikuaga mdau wa uzi wa selfika nahisi kabadili jina. Nlitaka nijue kama bado anaziuza nimchangie kwaajili yako. Ahadi ni deni.Hapana simkumbukiš ni wa wapi?
Nimemsahau, ila alikuaga mdau wa uzi wa selfika nahisi kabadili jina. Nlitaka nijue kama bado anaziuza nimchangie kwaajili yako. Ahadi ni deni.Hapana simkumbukiš ni wa wapi?
Aww jamaniiš„° I really wish nimgundue ni yupi.. thanks so much Poker ā„ļøNimemsahau, ila alikuaga mdau wa uzi wa selfika nahisi kabadili jina. Nlitaka nijue kama bado anaziuza nimchangie kwaajili yako. Ahadi ni deni.
Kwanini usitulie kwenye moja? Ikawa kama signature yako?Nachanganya sana scents, ntakwambia tukimpataš„°
Nisubiri zawadi initulize, tamaa tu mtu wangušKwanini usitulie kwenye moja? Ikawa kama signature yako?
Hapana sio tamaa ni kwamba unaasili ya kujua vitu vizuri. Mimi huu mwaka wa 5 sasa sijabadili perfume.Nisubiri zawadi initulize, tamaa tu mtu wanguš
Dah! ukanifanyia ubaya ubwela..Ilishapita maka akee Dec mwishoni huko
Kigamboni kuna umbali gani wewe.Kila siku mara uniambie utaniletea bucket maka ake kigamboni mbali sana uko nikija ujue kuna kitu kimenileta hizo Heineken niagizie tu hukuhuku
Mie kwa kweli, yoyote akiweka shunie akee mie naona bomba tu.. kikubwa asimuweke mama SAMUYA tu.Hi nimeipenda sana naamini hata Atoto akiiona atakubaliana nami au unasemaje makaveli10
Eti eeh? maybe I just have a natural gift for knowing whatās good⦠including people Hahah 𤪠wow! Ila mwaka wa 5 perfume ile ile!!Thatās loyalty on another level! Ni perfume gani hiiš¤Hapana sio tamaa ni kwamba unaasili ya kujua vitu vizuri. Mimi huu mwaka wa 5 sasa sijabadili perfume.
Nitafanye jamani marafiki zangu walinfanyia ka party kadogo tu tulikuwa kama 7 hiviDah! ukanifanyia ubaya ubwela..
Mbali bwana maka akeeKigamboni kuna umbali gani wewe.
Njoo ugonge heineken huku unapulizwa na upepo wa beach![]()
![]()
Nimecheka sanaMie kwa kweli, yoyote akiweka shunie akee mie naona bomba tu.. kikubwa asimuweke mama SAMUYA tu.
Shunie akee, wewe hata ukisema mchanga mtamu, mie nalamba šš¤£.. unajua hiloNimecheka sana
Hakuna umbali wowotr shunie akee, dar hii hakuna sehemu mbali... naamini hapo ulipo mpaka kigamboni mafuta ya 50k hayaishi, ukibolt ndio kabisaaaaa...Mbali bwana maka akee
Mimi ningrkuwa wa 8 hiviNitafanye jamani marafiki zangu walinfanyia ka party kadogo tu tulikuwa kama 7 hivi
Huo msemo wako umenikumbusha enzi zile za makapuku makapuku kweli haipoi wala haiboiShunie akee, wewe hata ukisema mchanga mtamu, mie nalamba.. unajua hilo


Sema tarehe 25 nina safari ya huko nakuja mara moja tu tena jioni kuna ndoa nikija huko kwenu nina matukio maalumHakuna umbali wowotr shunie akee, dar hii hakuna sehemu mbali... naamini hapo ulipo mpaka kigamboni mafuta ya 50k hayaishi, ukibolt ndio kabisaaaaa...
Fanya hivyo maka akee siku moja utubless watu wa kigamboni
Mimi ningrkuwa wa 8 hivi

hawajataka watu wengine zaidi ya wao wenyewe tu