...imependeza umeonekana binamu, maana Bongo nyoso kipindi hiki🤣🤣🤣🤣 Ndio maana nimekuta pm kibao
Kweli binamu...imependeza umeonekana binamu, maana Bongo nyoso kipindi hiki
Kwanini utuweke kiroho papo na kiroho juu hivo? Unajua hizi nyakati sio nzuri kabisaa. Am happy aisee umeamua kurudi maana leo nlikua nimejiandaa kuanzisha thread ya kukutafta.Sijambo Poker nashukuru sana sijui wewe
NyieeeeNashkuru Shunie wetu kapatikana inabidi tumchinjie ng'ombe dume kabisa au Tresor Mandala unasemaje?



Tuko byeee kabisaMmeamkaje wanafilia wote wa makapuku forum Shunie moudgulf Tresor Mandala Obe makaveli10 Atoto Makiwendo Lee
Binafsi niko bien kabisa, na ninaamini uko poa mdauMmeamkaje wanafilia wote wa makapuku forum Shunie moudgulf Tresor Mandala Obe makaveli10 Atoto Makiwendo Lee
Niko poa broMmeamkaje wanafilia wote wa makapuku forum Shunie moudgulf Tresor Mandala Obe makaveli10 Atoto Makiwendo Lee