Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 43,246
- 90,425
Hahahaha, kweli Rafiki,kama yupo nitajie kwa kumuita na wino wa blue🤣🤣🤣 rafiki usijitoe ufahamu!
Hahahaha, kweli Rafiki,kama yupo nitajie kwa kumuita na wino wa blue🤣🤣🤣 rafiki usijitoe ufahamu!
Acha janja janja rafiki🤣Hahahaha, kweli Rafiki,kama yupo nitajie kwa kumuita na wino wa blue
Hahahaha, Rafiki mie Sina ujanja wowote uleAcha janja janja rafiki🤣
Haya sema sasa dada yangu yuko wapi?Hahahaha, Rafiki mie Sina ujanja wowote ule
Sina Dada humu, wala sijawahi kuwa na Dada humu 😂Haya sema sasa dada yangu yuko wapi?
Sio dada yako, dada yangu umemficha wapi?Sina Dada humu, wala sijawahi kuwa na Dada humu 😂
Hahahaha, Sasa Dada yako namfichaje?😅😅Sio dada yako, dada yangu umemficha wapi?
Si ndio nami nashangaa🙆♂️Hahahaha, Sasa Dada yako namfichaje?😅😅
Hahahaha,Si ndio nami nashangaa🙆♂️
Humu naona baadhi ya member itakuwa tuliwapoteza kwenye maandamano.Ndugu wapendwa hamjambo humu
Sijajua hali halisi za warembo wa uzi huu.Wana familia kuanzia nchi iingie gizani hata nyumbani kwenu hapa makapuku hamtaki kupasikia! 😳
Atoto ningependa kujua Shunie anaendeleaje.
Obe upoo kweli
Tresor Mandala salamu kwako chief
makaveli10 vp tarehe 9 tunatoka tena?
moudgulf nikutakie kheri ustadh
Makiwendo njoo ulisalimie jukwaa
Kuna snipers walikuwa wanatungua siyo poa kabisa ustadh,Hali haikuwa nzuri kivipi bro