Makapuku Forum

Makapuku Forum

Poker asante kwa kutujulia khali mdau. Binafsi nashukuru maandamano yameonesha kumbe Watanganyika ukimya wao sio ukondoo. Sio vyama au dini vinavyoweza kututoa hapa tulipo bali ni sisi wenyewe.
Hapa nyumbani naona wadau wapo salama, kwa sasa
 
Nilikuwa nakuhofia wewe na Atoto Umemuona Shunie maana sio kwa ukimya huo
 
...kwa wakazi wa Dar, Mbeya, Arusha, Tarime na Songwe, ilikuwa ukitoka balaa, ukikaa ndani balaa linakufuata vile vile
Jijini Dar es salaam mshike mshike hasa ulikuwa kwa wakazi wanaoishi jirani na barabara kubwa kama Morogoro rd, Bagamoyo rd, Kilwa rd, Mandela rd na maeneo mengine yanayovutia watu wengi.
Baadhi ya maeneo ya ndani hayakuathilika sana.
Nadhani ujumbe umefika sasa ni muda kuganga majeraha na kuanza kulishughulikia tatizo.
"Mungu Ibariki Tanzania"
 
Mungu ibariki Tanganyika. Muda wa kuambiana kuhusu haki, msingi wa amani
 
Ha hahahaha ha, Atoto nafikiri ndiyo wakili wa washtakiwa, anaandaa makabrasha ya namna ya kuwadhamini watuhumiwa.
Shunie unatafutwa pande hizi na Poker

Nipo binamu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom