Ulimwengu shujaaMwe mwe mweeeeeeh! Kumbe kuna na mama kija🙆♂️🙆♂️🙆♂️🙆♂️🙆♂️
Ama kweli dunia hadaa😭😭😭
Nimelia sana😭😭😭Ulimwengu shujaa
Taabasam nipate furaha, sio unalia baby ×2Nimelia sana😭😭😭
Njoo uchukue Nina katoni nzima ya fursanaNiagizie fursana hapo nakuja chaaap! Nasikia zinalewesha sana.
Hahahaha hahahaha,sawa sawaHata sielewi mkuu.
Hata sielewi..
Ninapotoka, nae nyuma anatoka
Nikimtuma kitu anadai eti amechoka.
.
.
.
Hakika starehe za mjini zimemteka, na nyumbani soon atatoweka.
Nafsi yangu, nilimpa aitunze mpenz........
Ngoja dunia imfundishe atanikuta napiga mistari hii ya prof j
Hahahaha, upo wapi mchana huu🤣🤣🤣🤣
Kwahiyo mkaniacha?
Aiseeeh! Nimepatikana🙆♂️🙆♂️Taabasam nipate furaha, sio unalia baby ×2
Sio unalia baby,
Cheka kidogp, nione tabasamu lako, mie naridhika, nafarijika, ukilia unaniumza atoto..
Cheka kidogo nione beeibiiiii, yeeeah.
Taaabasam
Taaabasam
Beib, beib.. 🎤🎙
Tuma address nije chaaap!Njoo uchukue Nina katoni nzima ya fursana
Nipo na watoto wa watanzania.Hahahaha, upo wapi mchana huu
Hahahaha,ndio vzrAiseeeh! Nimepatikana🙆♂️🙆♂️
Unawafanya nn watoto wa kitanzaniaNipo na watoto wa watanzania.
Aaaah🙆♂️🙆♂️Hahahaha,ndio vzr
Tunafundishana🤣🤣Unawafanya nn watoto wa kitanzania
Mmh ,vzr sana,nitakuja kusoma na mmTunafundishana🤣🤣
Kuna mtu kaisha ni overtake tunda langu lishabebwa..
Chungwa la suma lee, lishakuwa chenza![]()



...mdau, naona wiki ishakuwa ngumu sana kwako, ni kama mwizi kapaliwa wakati anadokoa nyama

