makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 35,976
- 104,433
Aahh, mamii ina maana hujui ninapoamkua kipenzi?Kwani meamkia wapi leo🙆♂️🙆♂️
Si nilikuaga naenda nzega kikazi??
Aahh, mamii ina maana hujui ninapoamkua kipenzi?Kwani meamkia wapi leo🙆♂️🙆♂️
Hahahaha,dahMdau alifichwa w.end nzima. Ndio kaibuka😭😭😭😭
Ama kweli niko singo.
Usikate tamaaKaishaanza kuleta pigo za binti maringo 😄🤣
Itabidi nikate mkuuUsikate tamaa
HahahahaItabidi nikate mkuu
😄🤣Hahahaha
Ongeza speed kdg
"Mwanamke kama hataki, usimbake, mwache aende zake, kulazimisha penzi ni hatari, sawa na kulazimisha fani."Ongeza speed kdg
Hahahaha,nimekupata Atoto soma mistari hiyo ya mdau"Mwanamke kama hataki, usimbake, mwache aende zake, kulazimisha penzi ni hatari, sawa na kulazimisha fani."
Ni kama ticha mkuu kumbaka denti ofisini
😄🤣😂
Utafungwa, arabuni utanyongwa..
Ndani ya shamba la miwa sahau kuvuna mihogo.
Msikilize vizuri afande sele 😄🤣😂



Kwani auntie yangu umeachika na naniii njoo kwenye kulewa hakuna stress
Nikwambie beer ya kuanza nayo au utaanza na wine auntieBora tulewe tu rafiki, mahusiano yana wenyewe![]()

Umepata shunie akee, bado kupokea. Weekend hii nisage popote unaponiona nizoe zoe upate kuumwagilia moyo


maka akee nipo nasubiri kupokea
Nyieee auntie yangu anapendwa hukuKusema uongo kwako ni haram, unalijua hilo...
We ni kibaka wa moyo wangu, nakupenda mpaka nakupenda tena.


Mdau tenahuyu mdau ashaniona mimi mnyonge wake. Nimekataa unyonge.

mbona ghafla sanaaa
"Mwanamke kama hataki, usimbake, mwache aende zake, kulazimisha penzi ni hatari, sawa na kulazimisha fani."
Ni kama ticha mkuu kumbaka denti ofisini
Utafungwa, arabuni utanyongwa..
Ndani ya shamba la miwa sahau kuvuna mihogo.
Msikilize vizuri afande sele![]()



Ukiyajua hayo utaishi kwa amani sana, utakufa kwa ajali labda ila magonjwa haya kisukari, presha, sijui moyo kufanyaje, yatakaa mbali sana na wewe 😄🤣Hahahaha,nimekupata Atoto soma mistari hiyo ya mdau
Limeisha hilo shunie akeemaka akee nipo nasubiri kupokea
Nampenda mpaka nampenda tena... nakala ya barua iende basata, tuna hatimiliki ya mapenzi 😄🤣Nyieee auntie yangu anapendwa huku![]()
Kuna mtu kaisha ni overtake tunda langu lishabebwa..Mdau tenambona ghafla sanaaa