Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,978
We mwamini tu auntie ndio chaguo lako
Auntie hilo swali ni uchochezi.
makaveli10 alipotea nyumbani tangu Jumatano. Leo ndio namuona eti alikuwa Nzega kikazi![]()

We mwamini tu auntie ndio chaguo lako
Auntie hilo swali ni uchochezi.
makaveli10 alipotea nyumbani tangu Jumatano. Leo ndio namuona eti alikuwa Nzega kikazi![]()

Hapana, sifundishi wazee🤣Mmh ,vzr sana,nitakuja kusoma na mm
Muuza majeneza kamuoa nesi wa kijiji......mdau, naona wiki ishakuwa ngumu sana kwako, ni kama mwizi kapaliwa wakati anadokoa nyama