Makapuku Forum

Makapuku Forum

๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Hapanaaa, usinipange.
Muda wote natamani, niwe nawe kila saa
Nikueleze jinsi gani, kwenye giza we ni taa

Nilikuwa naisikiliza ngoma ya diamond my heart.. ni kama vile alikuwa kichwani mwangu, au aliona siku ya kwana kuonana kwetu, au angekuwa jirani ningesema huwa anatupiga chabo ๐Ÿ˜„๐Ÿคฃ๐Ÿ˜‚
 
Sidanganyiki.
 
Back
Top Bottom